Abdul Jabir Marombwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Abdul Jabir Marombwa (amezaliwa tar. 25 Mei 1959) ni mbunge wa jimbo la Kibiti katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Abdul Jabir Marombwa (21 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.