Shehu Shagari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shehu Shagari.

Alhaji Shehu Usman Aliyu Shagari, mwenye cheo cha Turakin Sakkwato (amezaliwa tar. 25 Mei 1925) alikuwa Rais wa sita nchini Nigeria.

Shehu alikabidhiwa madaraka kinguvu na Jenerali Olusegun Obasanjo kuwa mwangalizi wa serikali. Shangari alitanguliwa na Olusegun Obasanjo kisha akafuatiwa na Muhammadu Buhari.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shehu Shagari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.