Papa Silvester II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Silvester II (takriban 950 – 12 Mei, 1003) alikuwa papa kuanzia mwaka wa 999 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gerbert d'Aurillac. Alimfuata Papa Gregori V.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Silvester II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Silvester II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |