Papa Innocent XI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Innocent XI

Papa Innocent XI (16 Mei, 161112 Agosti, 1689) alikuwa papa kuanzia 21 Septemba, 1676 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Odescalchi. Alimfuata Papa Klementi X.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.