Damian Dalu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Damian Dalu (amezaliwa 26 Aprili 1955) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2000. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Geita.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Damian Dalu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.