Jimbo Katoliki la Geita
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo katoliki la Geita (kwa Kilatini Dioecesis Geitaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mwanza.
Askofu wake ni Damian Dalu.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Uongozi[hariri]
- Maaskofu wa Geita
- Damian Dalu (since 2000)
- Aloysius Balina (1984 – 1997)
Takwimu[hariri]
Eneo ni la kilometa mraba 41,311, ambapo kati ya wakazi 1,908,000 (2006) Wakatoliki ni 398,000 (20.9%).