Robert Mulliken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Robert Sanderson Mulliken (7 Juni, 189631 Oktoba, 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli. Mwaka wa 1966 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Mulliken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.