Eugenio Montale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Eugenio Montale

Eugenio Montale (12 Oktoba 189612 Septemba 1981) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Italia. Hasa aliandika mashairi na insha. Mwaka wa 1975 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eugenio Montale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.