Zephania Mothopeng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zephania Lekoame Mothopeng (10 Septemba 191323 Oktoba 1990) alikuwa mwanaharakati wa siasa na mwanachama wa Bunge la Muungano wa Afrika (Pan-Africanist Congress) nchini Afrika Kusini.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa jimboni Dola Huru nchini Afrika Kusini na alisoma elimu katika Adams College jimboni KwaZulu-Natal.

Alikaa mjini Johannesburg.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Hlongwane, A. K. (2002). Independence now! Tomorrow the United States of Africa: the study of Zephaniah Lekoama Mothopeng (1913-1990).
  • Akhalwaya, A. (1989). Zephania Mothopeng: Free at Last. Africa Report, 34(1), 31.
  • Benson, M. (Ed.). (1981). The sun will rise: Statements from the dock by southern African political prisoners. London: International defence and aid fund for Southern Africa.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zephania Mothopeng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.