Wallace Stegner
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wallace Earl Stegner (18 Februari, 1909 – 13 Aprili, 1993) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1972, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa riwaya yake Angle of Repose ("Pembe ya Utulivu").
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wallace Stegner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |