Gao Xingjian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gao Xingjian (amezaliwa 4 Januari, 1940) ni mwandishi kutoka nchi ya Uchina. Hasa ameandika tamthiliya. Kwa vile alionewa na serikali ya Kichina, alihamia Ufaransa mwaka wa 1987. Mwaka wa 2000 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Gao Xingjian" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Gao Xingjian kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi