Fortunatus Lukanima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Fortunatus Lukanima (amezaliwa 8 Desemba 1940) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1989. Tangu mwaka huo hadi 1998, alikuwa askofu wa Jimbo la Arusha, alipojiuzulu.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fortunatus Lukanima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.