Eduard Buchner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Eduard Buchner

Eduard Buchner (20 Mei, 186013 Agosti, 1917) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza kimeng'enya cha hamira. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

[hariri] Viungo vya nje

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eduard Buchner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine