Ernst Ruska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ernst August Friedrich Ruska (25 Desemba, 190627 Mei, 1988) alikuwa fundisanifu wa umeme kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kubuni hadubini ya elektroni. Mwaka wa 1986, pamoja na Gerd Binnig na Heinrich Rohrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Ernst Ruska" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Ernst Ruska kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi