John Cheever
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Cheever (27 Mei, 1912 – 18 Juni, 1982) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya na hadithi fupi. Mwaka wa 1979, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa mkusanyiko wake wa hadithi fupi The Stories of John Cheever ("Hadithi Fupi za John Cheever").
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Cheever kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |