Herman Wouk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Herman Wouk katika Jerusalem, 1955

Herman Wouk (amezaliwa 27 Mei, 1915) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa riwaya zake zinazoeleza hali ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herman Wouk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine