John Douglas Cockcroft

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
John Douglas Cockcroft
Tuzo Nobel.png

John Douglas Cockcroft (27 Mei, 189718 Septemba, 1967) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza kiini cha atomu. Mwaka wa 1948 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1951, pamoja na Ernest Walton alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Douglas Cockcroft kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine