Isaac Amani Massawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Isaac Amani Massawe (amezaliwa 10 Juni 1951) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2008. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Moshi.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Amani Massawe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.