Josaphat Louis Lebulu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Josaphat Louis Lebulu (amezaliwa 13 Juni 1942) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1979. Tangu 1999, ni askofu mkuu wa Dayosisi ya Arusha.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Josaphat Louis Lebulu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |