Azam F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Azam F.C.
Rangi nyumbani
Rangi za safari

Azam F.C. ni timu ya soka jijini Dar es Salaam inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Azam F.C. imeanzishwa mwaka 2007 imepata kuwa Mabingwa mara moja katika ligi kuu ya Tanzania Vodacom wakibeba ubingwa huo mwaka 2012-2013 pia ni mabingwa mara moja wa kombe la mabingwa Afrika mashariki kombe la Kagame wakibeba mwaka 2015.

Wachezaji[hariri | hariri chanzo]

<...>

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Azam F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.