Papa Silverio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Silverio alikuwa papa kuanzia 8 Juni, 536 hadi mwezi wa Machi 537. Alimfuata Papa Agapeto I. Aliondoshwa madarakani kwa nguvu ya Kaisari wa Bizanti aliyempendelea Papa Vigilio. Silverio alifungwa na kufariki tarehe 20 Juni, 537. Angalao tangu karne ya 11 ameangaliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 20 Juni.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Silverio katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Silverio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.