Cecil Frank Powell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Cecil Frank Powell (5 Desemba, 19039 Agosti, 1969) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza vijipande vya atomu. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cecil Frank Powell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.