Papa Adrian VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Adrian VI

Papa Adrian VI (2 Machi, 145914 Septemba, 1523) alikuwa papa kuanzia 9 Januari, 1522 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Adriaan Florenszoon Boeyens. Alimfuata Papa Leo X. Adrian VI huangaliwa kuwa mtakatifu, na sikukuu yake ni 8 Julai.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.