Kaizari Karoli V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karoli V (24 Februari 1500 – 21 Septemba 1558) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1519 hadi kujiuzulu mwezi wa Septemba 1556. Alimfuata babu yake, Maximilian I, na kufuatiwa na mdogo wake Ferdinand I.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Karoli V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |