William Faulkner
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| William Faulkner | |
William mnamo 1949 |
|
| Amezaliwa | William Cuthbert Faulkner 25 Septemba 1897 Mississippi, Marekani |
|---|---|
| Amekufa | 6 Julai 1962 Mississippi, Marekani |
| Nchi | Marekani |
| Kipindi | 1919-1962 |
| Ndoa | Estelle Oldham (1929–1962) |
William Faulkner (25 Septemba 1897 – 6 Julai 1962) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1949 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Faulkner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |