Jimmy Cliff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimmy Cliff

Jimmy Cliff ni mwanamuziki wa Jamaika. Amezaliwa 1 Aprili 1948 huko St Catherine, Jamaika. Jina lake la kuzaliwa ni James Chambers. Hasa anapiga muziki wa Reggae. Tangu mwaka wa 1968 alitoa vibao vingi. Mwaka wa 2004 alitoa kibao cha Black Magic.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimmy Cliff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Jimmy cliff pia anasifika kama miongoni mwa waasisi wa muziki wa reggae nchini jamaika hasa akisifika kwa kibao chake cha "the harder they come" kilichotumika kama sound track katika filamu ya kijamaika yenye jina hilohilo ya mwaka 1972 filamu iliyoelezea mengi kuhusu uhalisia wa hali ya kijamii na siasa nchini humo.