Bertha von Suttner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bertha Félicie Sophie von Suttner (9 Juni, 184321 Juni, 1914) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Austria. Hasa aliandika riwaya kwa ajili ya kuhamasisha amani ya kimataifa. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Bertha von Suttner" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Bertha von Suttner kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi