Oliver Tambo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Oliver Tambo |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la kuzaliwa | Oliver Reginald Tambo |
| Alizaliwa | 27 Oktoba 1917 |
| Alikufa | 24 Aprili 1993 |
| Nchi | Afrika Kusini |
| Kazi yake | Mwanasiasa pia Mwanaharakati wa kupiga vita dhidi ya ubaguzi wa rangi |
Oliver Reginald Tambo (27 Oktoba 1917 - 24 Aprili 1993) alikuwa kiongozi wa kisiasa aliyepiga vita dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini. Tambo pia alikuwa mwanakamati wa chama cha African National Congress (Kifupi: ANC).
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oliver Tambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
