Thomas Ulimwengu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Thomas Ulimwengu | ||
| Maelezo binafsi | ||
|---|---|---|
| Jina kamili | Thomas Emmanuel Ulimwengu | |
| Tarehe ya kuzaliwa | ||
| Mahala pa kuzaliwa | Tanga, Tanzania | |
| Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
| Maelezo ya klabu | ||
| Klabu ya sasa | Tanzania Soccer Academy | |
| Namba | 11 | |
| Klabu za vijana | ||
| 2008-2010 | Tanzania Soccer Academy | |
| Klabu za ukubwani | ||
| Miaka | Klabu | |
| 2009-2010 | Moro United | |
| Timu ya taifa | ||
| 2009-2010 | Tanzania | |
|
* Magoli alioshinda |
||
Thomas Emmanuel Ulimwengu ni mchezaji mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anaichezea timu ya Tanzania Soccer Academy na pia huichezea timu ya Taifa ya Tanzania na timu ya Taifa U-20 ya Tanzania, yaani, chini ya miaka 20.
Timu yake ya Taifa ya Tanzania U-17 [hariri]
Katika mashindano ya Cecafa 2009 U-17 Championship yaliyofanyika Sudan alijinyakulia ubingwa wa mfungaji bora katika mashindano hayo. Timu yake ya taifa ya Tanzania ilichukua nafasi ya Tatu katika mashindano hayo.