Santiago Ramón y Cajal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Santiago Ramón y Cajal

Santiago Ramón y Cajal (1 Mei 185217 Oktoba 1934) alikuwa daktari kutoka nchi ya Hispania. Hasa alichunguza vyembe vya neva na matumizi yake. Mwaka wa 1906, pamoja na Camillo Golgi alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Santiago Ramón y Cajal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.