Margareta Maria Alacoque
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Margareta Maria Alacoque (L'Hautecour, Burgundy, Ufaransa, 22 Julai 1647 – Paray-le-Monial, 17 Oktoba 1690) alikuwa mwanamke mtawa aliyepata umaarufu kama mwanasala mwenye njozi.
Kufuatana nazo alieneza sana ibada kwa Moyo mtakatifu wa Yesu.
Alitangazwa na Papa Pius IX kuwa mwenye heri tarehe 18 Septemba 1864, halafu Papa Benedikto XV alimtangaza mtakatifu tarehe [[13 Mei] 1920.
Marejeo [hariri]
- Gaddis, William. The Recognitions. Penguin Classics, New York, New York. 1993, pp. 66–67.
- http://en.wikisource.org/wiki/1911_Encyclop%C3%A6dia_Britannica/Alacoque,_Marguerite_Marie}}
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Sanctuary of Paray-le-Monial | Saint Margaret Mary Alacoque
- The Life of Saint Margaret Mary Alacoque in her own words
- La Vie de Saint Marguerite-Marie Alacoque - Biography in French (1923)
- The Secret of Saint Margaret Mary Alacoque
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Margareta Maria Alacoque kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |