Papa Innocent VII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Innocent VII (takriban 1336 – 6 Novemba 1406) alikuwa papa kuanzia 17 Oktoba 1404 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Cosimo de' Migliorati. Alimfuata Papa Boniface IX wakati wa farakano la Kanisa la magharibi, akafuatwa na Papa Gregori XII.
Viungo vya nje [hariri]
Papa Innocent VII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
