Gerhard Domagk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerhard Domagk

Gerhard Johannes Paul Domagk (30 Oktoba 189524 Aprili 1964) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali, na kuchapa kazi kwa ajili ya tiba ya kikemia kukomesha magonjwa kama kifua kikuu na kansa. Mwaka wa 1939 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gerhard Domagk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.