Papa Sergio I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sergio I alikuwa papa kuanzia 15 Desemba, 687 hadi kifo chake tarehe 8 Septemba, 701. Alimfuata Papa Konon.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Sergio I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sergio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |