Papa Agapeto I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Agapeto I
Papa Agapeto I

Papa Agapeto I alikuwa papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 535 hadi kifo chake tarehe 22 Aprili, 536. Alimfuata Papa Yohane II. Muda sio mrefu baada ya kifo chake alianza kuangaliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 20 Septemba, tarehe alipomwondosha madarakani Anthimus, askofu mkuu wa Trebizond kwa ajili ya mafunzo yake ya Kiariani yaliyoangaliwa kuwa ya uwongo.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Agapeto I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Papa Agapeto I" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Papa Agapeto I kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi