Papa Boniface II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Papa Boniface II alikuwa papa kuanzia 17 Septemba 530 hadi kifo chake mwezi wa Oktoba 532.

Alimfuata Papa Felix IV akafuatwa na Papa Yohane II.

Aliwekwa wakfu na kuvishwa taji la kipapa tarehe 22 Septemba 530.

Mazishi yake yalifanyika tarehe 17 Oktoba 532.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.