Ulf von Euler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Ulf Svante von Euler-Chelpin (7 Februari, 19059 Machi, 1983) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uswidi. Alikuwa mwana wa Hans von Euler-Chelpin. Hasa alichunguza neva. Mwaka wa 1970, pamoja na Bernard Katz na Julius Axelrod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulf von Euler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine