Hans von Euler-Chelpin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Hans von Euler-Chelpin
Tuzo Nobel.png

Hans Karl August Simon von Euler-Chelpin (15 Februari, 18737 Novemba, 1964) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza vimeng'enya na vitamini. Mwaka wa 1929, pamoja na Arthur Harden alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans von Euler-Chelpin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine