Robert Woodward

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Robert Burns Woodward (1965)
Tuzo Nobel.png

Robert Burns Woodward (10 Aprili, 19178 Julai, 1979) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa misombo, kwa mfano kwinini. Mwaka wa 1965 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Woodward kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine