Tatyana Ali
| Tatyana Ali | |
|---|---|
Tatyana Ali at the U.S. Presidential Inauguration (2009).
|
|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Tatyana Marisol Ali[1] |
| Amezaliwa | 24 Januari 1979 |
| Asili yake | North Bellmore, Long Island, New York, Marekani |
| Aina ya muziki | R&B, Soul, Dansi-Pop |
| Kazi yake | Filamu, Mwigizaji wa televisheni Mwimbaji |
| Miaka ya kazi | 1985 — hadi leo (mwigizaji) 1997 — hadi leo (mwibaji) |
| Studio | MJJ/Work/SME Records (1997—2001) |
| Ame/Wameshirikiana na | Will Smith |
| Tovuti | tatyanaalionline.com |
Tatyana Marisol Ali (amezaliwa tar. 24 Januari 1979) ni mwigizaji wa filamu na mwimbaji wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Ashley Banks kutoka katika ucheshi wa Fresh Prince of Bel-Air, aliokuwa anaigiza na Will Smith.
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Maisha ya awali [hariri]
Ali alizaliwa mjini Long Island, New York, Marekani, ni binti wa Sonia, mwuguzi, na Sheriff Ali, askari mpelelezi. Mama yake ni mzaliwa wa Panama na baba yake ni mhindi asilia kutoka Trinidad na Tobago. Ali pia ana wadogo zake wa kike wawili, mmoja anaitwa Anastasia mwingine anaitwa Kimberly. Ali ni mwongeaji mzuri wa Kiingereza na Kihispania.
Tatyana alipata elimu yake ya sekondari katika shule ya Marymount High School iliyopo magharibi mwa Los Angeles, California, na Buckley School iliyopo Sherman Oaks, Los Angeles, California. Mnamo mwaka wa 2002, Ali alihitimu Chuo Kikuu cha Harvard (Harvard University) na kupata digrii ya sayansi ya jamii.
Filamu alizoigiza Ali [hariri]
- Hotel California (2008) .... Jessie
- Privileged (2007) .... Talia
- Nora's Hair Salon (2007) .... Lilliana
- On the Lot .... Girl in 'first sight' (Kipande 1, 2007)
- Glory Road (2006) .... Tina Malichi
- The List (2006) .... Cynthia
- Domino One (2005) .... Laeticia Richards
- Back In the Day (2005)(V) .... Alicia Packer
- Nora's Hair Salon (2004) .... Lilleana
- National Lampoon's Dorm Daze (2003) .... Claire
- Half & Half .... Olivia (Kipande 1, 2003)
- Fastlane .... Shelly (Kipande 1, 2002)
- The Brothers (2001) .... Cherie Smith
- Brother (2000) .... Latifa
- Jawbreaker .... Brenda Chad
- The Clown at Midnight (1998) .... Monica
- 413 Hope St .... Kai (Kipande 1, 1997)
- Kiss the Girls (Kama Tatyana M. Ali) .... Janell Cross
- Fakin' Da Funk .... Karyn
- Fall into Darkness (1996) (TV) (Kama Tatyana M. Ali) .... Sharon McKay
- Kidz in the Wood (1996) (TV) (Kama Tatyana M. Ali) .... Rita
- The Fresh Prince of Bel-Air .... Ashley Banks (Vipande 129, 1990-1996)
- Living Single .... Stephanie James (Kipande 1, 1996)
- In the House .... Ashley Banks (Kipande 1, 1995)
- TV's Funniest Families (1994) (TV)
- Are You Afraid of the Dark? .... Connie / ... (1 episode, 1994)
- Getting By .... Nicole Alexander (1 episode, 1993)
- The Cosby Show .... Girl (Kipande 1, 1989)
- A Man Called Hawk .... Michelle (1 episode, 1989)
- Wow, You're a Cartoonist! (1988)(V) .... Child Cartoonist
- Crocodile Dundee II (1988).... Park Girl
- Eddie Murphy Raw (1987) .... Eddie's sister (sketch)
Almbamu alizotoa [hariri]
- Kiss the Sky (1998)
- The Light (2007)
Nyimbo maarufu [hariri]
- "Daydreamin'" - #5 US, #6 UK
- "Boy You Knock Me Out" (Akishirikiana na Will Smith) - #3 UK
- "Everytime" - #20 UK
- "It's All Right"/"Somebody Loves You" - Bado kutolewa.
Marejeo [hariri]
- ↑ Tatyana Ali at NNDB. NNDB.com. Rudishwa juu ya 2007-09-24.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu muziki wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tatyana Ali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |