Ne-Yo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ne-Yo | |
|---|---|
![]() |
|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Shaffer Chimere Smith |
| Amezaliwa | 18 Oktoba 1979 |
| Asili yake | Camden, Arkansas|Camden, Arkansas, Marekani |
| Aina ya muziki | Soul R&B, pop, hip hop, pop dansi, neo soul |
| Kazi yake | Mtunzi, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi, rapa, mnenguaji, mwigizaji |
| Miaka ya kazi | 1999–hadi leo |
| Studio | Def Jam |
| Ame/Wameshirikiana na | Rihanna |
| Tovuti | Tovuti yake rasmi |
Shaffer Chimere Smith (amezaliwa tar. 18 Oktoba 1979)[1] ni mwimbaji, mtunzi, mtyarishaji, mnenguaji, mwigizaji na pia rapa kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ne-Yo. Yeye ni Mwafro-Asia ambaye amechanganya kati ya Mmarekani Mweusi (baba) na Mchina-Mweusi (mama).
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Maisha ya awali [hariri]
Muziki [hariri]
Albamu zake [hariri]
- In My Own Words (2006)
- Because of You (2007)
- Year of the Gentleman (2008)
Filamu [hariri]
Filamu za kawaida [hariri]
- Save the Last Dance 2 (2007)
- Stomp The Yard (2007)
Mwonekano wake katika TV [hariri]
- Las Vegas (2008)
- All My Children (2008)
Maelezo [hariri]
- ^ Montgomery, James (2 Machi 2006). "Hawthorne Heights' Anti-Ne-Yo Campaign 'A Joke,' Label Claims ". MTVnews.com
- ^ Source for UK release date of "Stay".
Marejeo [hariri]
- ↑ Tavis Smiley (original airdate 23 Juni 2008 on PBS). Interview with Ne-Yo. Accessed 9 Septemba 2008.
Viungo vya nje [hariri]
- Official Site
- Ne-Yo katika MySpace
- Ne-Yo at the Internet Movie Database
|
||||||||||||||
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ne-Yo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
