Rihanna
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Rihanna | |
|---|---|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Robyn Rihanna Fenty |
| Amezaliwa | 20 Februari 1988 |
| Asili yake | Saint Michael, Barbados |
| Aina ya muziki | R&B, reggae |
| Kazi yake | Mwimbaji, Mwanamitindo |
| Miaka ya kazi | 2005–hadi leo |
| Studio | Def Jam Recordings |
| Tovuti | www.rihannanow.com |
Robyn Rihanna Fenty (amezaliwa tar. 20 Februari, 1988) ni msanii wa uimbaji wa muziki wa R&B na pop kutoka nchini Barbados. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Rihanna. Alizaliwa mjini Saint Michael, Barbados, na kisha baadaye akaelekea zake nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 16 ili kujiendeleza zaidi katika shughuli zake za kirekodi akiwa chini ya uongozi wa mtayarishaji wa rekodi Bw. Evan Rogers.
Baadaye akaja kuingia mkataba ma studio ya Def Jam Recordings baada ya kusailiwa na kiongozi wa studio hiyo Bw. Jay-Z.[1]
Yaliyomo |
[hariri] Diskografia
- Music of the Sun (2005)
- A Girl like Me (2006)
- Good Girl Gone Bad (2007)
- Rated R (2009)
- Loud (2010)
- Talk That Talk (2011)
[hariri] Tanbihi
^ a: Barbados born producer Jimmy Senya Haynes produced and arranged Babylon the Bandit for the band Steel Pulse, but he was never credited as a member of the band.[2][3]
[hariri] Marejeo
- ↑ "Jay-Z's Picks: Teairra Mari, Rihanna and Ne-Yo", MTV News. Retrieved on 2009-06-06.
- ↑ The Nation Newspaper Jimmy was first. The Daily Nation (2008-02-14). Rudishwa juu ya 2008-11-02.
- ↑ The Nation Newspaper Jimmy was first. The Daily Nation (2008-02-14). Rudishwa juu ya 2008-11-02.
[hariri] Viungo vya Nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti rasmi ya Rihanna
- Rihanna katika MySpace
|
||||||||||||||||||||
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Barbados bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rihanna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |