Single (wimbo wa New Kids on the Block na Ne-Yo)
| “Single” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Single ya New Kids on the Block na Ne-Yo kutoka katika albamu ya The Block na Year of the Gentleman |
|||||
| Imetolewa | 12 Agosti 2008 | ||||
| Muundo | Digital download, CD single | ||||
| Imerekodiwa | 2008 | ||||
| Aina | Pop/R&B | ||||
| Urefu | 3:55 | ||||
| Studio | Interscope | ||||
| Mtunzi | Shaffer Chimere Smith, Polow-Freache Jamal Fincher Jones | ||||
| Mtayarishaji | Polow da Don, kwa ushirikiano na Ne-Yo, Adam Messinger | ||||
| Mwenendo wa single za New Kids on the Block | |||||
|
|||||
| Mwenendo wa singles za Ne-Yo | |||||
|
|||||
| Alternate cover | |||||
Digital cover
|
|||||
"Single" ni wimbo wa pili kutoka katika albamu ya tano ya kundi la muziki la New Kids on the Block, The Block, ambao umeimbwa pamoja na Ne-Yo.
Wimbo ulitolewa mnamo tar. 12 Agosti ya mwaka 2008, ukiwa kama wimbo wa kupakua mtandaoni. Kwa mujibu wa allaccess.com, wimbo uliiangiliana na redio mnamo 2 Septemba 2008, ambamo ni tarehe sawa iliyotoka albamu hiyo. Wimbo ulitolewa ukiwa kama CD single nchini UK mnamo 11 Novemba 2008.
Ne-Yo naye ameingiza toleo aliloimba peke yake na kuitia katika orodha ya nyimbo zake za albamu ya Year of the Gentleman ambamo wimbo una urefu wa 4:18.
Chati[hariri]
Wimbo ulishika nafasi ya 72 katika chati za Canadian Hot 100 na tangu hapo ikaja kushika nafasi ya 42 hadi kutoka kwake.[1] Kwa U.S. imeingia katika chati za Pop 100 ikiwa nafasi ya 86, lakini baadaye ikajikongoja na kufikia nafasi ya 56.[2]
| Chati (2008) | Nafasi iliyoshika |
|---|---|
| Canadian Hot 100[3] | 42 |
| South Korean International Singles Chart[4] | 3 |
| U.S. Billboard Bubbling Under Hot 100 Singles[5] | 7 |
| U.S. Billboard Hot Dance Club Play[6] | 29 |
| U.S. Billboard Top 40 Mainstream[7] | 39 |
| U.S. Billboard Pop 100[8] | 56 |
| UK Singles Chart[9] | 81 |
Marejeo[hariri]
- ↑ http://acharts.us/song/37262
- ↑ [1]
- ↑ http://acharts.us/song/37262
- ↑ http://www.hanteo.com/rank/songRanking.asp?cweek=200838&genre=51>
- ↑ http://www.billboard.biz/bbbiz/charts/chart_display.jsp?g=Singles&f=Bubbling+Under+Hot+100+Singles
- ↑ http://www.billboard.com/bbcom/retrieve_chart_history.do?model.vnuArtistId=5297&model.vnuAlbumId=1163149
- ↑ http://www.billboard.biz/bbbiz/charts/chart_display.jsp?g=Singles&f=Top+40+Mainstream
- ↑ http://www.billboard.biz/bbbiz/charts/chart_display.jsp?g=Singles&f=Pop+100
- ↑ The Official UK Singles Charts. OCC (2007-11-22). Rudishwa juu ya 2008-11-17.
|
||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Single (wimbo wa New Kids on the Block na Ne-Yo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

