Because of You (wimbo wa Ne-Yo)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| “Because of You” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Single ya Ne-Yo kutoka katika albamu ya Because of You |
|||||
| Imetolewa | 4 Februar1, 2007/13 Machi 2007 | ||||
| Muundo | CD single, 12" single | ||||
| Imerekodiwa | 2007 | ||||
| Aina | R&B, pop | ||||
| Urefu | 3:46 | ||||
| Studio | Def Jam | ||||
| Mtunzi | Eriksen, Hermansen, Smith | ||||
| Mtayarishaji | Stargate | ||||
| Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
|||||
"Because of You" ni wimbo wa mwaka wa 2007 uliotolewa na mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B - Ne-Yo. Huu ni wimbo kwanza kutoka katika albamu yake iujulikanayo kwa jina hilohilo la Because of You. Wimbo umeanza kupigwa katika vituo vya maredio kunako tarehe 4 Februari ya mwaka wa 2007.[1][2]
Chati [hariri]
| Chati (2007) | Nafsi Iliyoshika |
|---|---|
| U.S. Billboard Hot 100 | 2 |
| U.S. Billboard Hot Dance Club Play | 11 |
| U.S. Billboard Nyimbo Bora za Hot R&B/Hip-Hop | 7 |
| U.S. Billboard Pop 100 | 3 |
| Australia ARIA Top 100 Singles Chart[3] | 23 |
| Austrian Singles Chart[4] | 64 |
| Canada BDS Airplay | 49 |
| Czech IFPI Chart | 27 |
| Dutch Top 40[5] | 12 |
| Ireland IRMA Top 50 Singles | 10 |
| New Zealand RIANZ Top 50 Singles | 1 |
| Sweden Top 60 Singles[6] | 24 |
| Top 50 Portugal | 18 |
| United World Chart | 9 |
| UK Top 75 Singles | 4 |
Marejeo [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
|
||||||||||||||
