Alexander Todd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Alexander Robertus Todd of Trumpington (2 Oktoba, 190710 Januari, 1997) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa nukleotidi na usanisi wake. Mwaka wa 1957 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexander Todd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine