James Michener

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
James Michener

James Albert Michener (3 Februari, 190716 Oktoba, 1997) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa riwaya zinazoeleza historia ya nchi au eneo la dunia. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya mkusanyiko wake “Hadithi za Pasifiki ya Kusini” (kwa Kiingereza: Tales of the South Pacific) iliyoandikwa mwaka wa 1947.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Michener kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine