John Kendrew
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Cowdery Kendrew (24 Machi, 1917 – 23 Agosti, 1997) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa protini mbalimbali. Mwaka wa 1962, pamoja na Max Perutz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1974 alipewa cheo cha "Sir".
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Kendrew kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |