Alfred Hershey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Alfred Day Hershey (4 Desemba, 190822 Mei, 1997) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyoharibu vijidudu. Mwaka wa 1969, pamoja na Max Delbruck na Salvador Luria alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Hershey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.