Papa Innocent XII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Innocent XII (13 Machi, 1615 – 27 Septemba, 1700) alikuwa papa kuanzia 12 Julai, 1691 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Antonio Pignatelli. Alimfuata Papa Alexander VIII.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Innocent XII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
