Sully Prudhomme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
Sully Prudhomme

Sully Prudhomme (16 Machi, 18397 Septemba, 1907) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa René-François-Armand Prudhomme. Mashairi yake yanaonyesha sifa za ujumi. Mwaka wa 1901 alikuwa mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Nobel kwa Fasihi.

[hariri] Viungo vya nje

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sully Prudhomme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.